Wanawake wa Saudi Arabia washiriki kwa mara ya kwanza kupiga kura na kuwachaguwa madiwani wanawake katika uchaguzi wa kihistoria katika taifa hilo la kifalme siku ya Jumamosi Disemba 12, 2015,
Wanawake wa Saudia washiriki katika uchaguzi kwa mara ya kwanza

1
Wanawake wapiga kura kwa mara ya kwanza, Saudi Arabia.

2
Dr. Haifa al-Hababi, mgombea kiti cha baraza la manisipa akihojiwa na shirika la habari la AP mjini Riyadh, Dec. 11.

3
Fawzia al-Harbi, miongoni mwa wagombea wa kwanza wanawake wa Saudia katika uchaguzi wa manisipa, akionesha wasifu wake kwenye tovuti yake. Riyadh on Nov. 29, 2015.

4
Mwanamke waki Saudia akieleza furaha yake baada ya kupiga kura yake ya kwanza.