Sherehe za wiki nzima zinafanyika kuwakumbuka walouliwa wakati wa mauwaji ya siku 100 nchini Rwanda mwaka 1994
Rwanda yaadhimisha miaka 20 tangu mauwaji ya halaiki

1
wasani wakiigiza baadhi ya matukio yaliyotokea wakiingia kwenye uwamja wa michezo kuadhimisha miaka 20 ya mauwaji halaiki kwenye uwanja wa Amahoro, Kigali, April 7, 2014.

2
Bizimana Emmanuel, aliyezaliwa miaka miwili kabla ya mauwaji ya haliaki, anatulizwa na mwanamke asiyejulikana alipokua anahudhuria sherehe za kuadhimisha miaka 20 katika uwanja wa mchezo wa Amahoro, Kigali, April 7, 2014.

3
Wasani wakicheza baadhi ya matukio ya mauwaji wakati wa sherehe za kuadhimisha miaka 20 ya mauwaji ya Rwandan kwenye uwanja wa micehzo wa Amahoro Kigali, April 7, 2014.

4
Wanawake wawili wanaolia, ni miongoni mwa kadhaa walozidiwa na majonzi wakikumbuka ukatili ulotendeka wakati wa mauwaji ya halaiki wakibebwa kusaidiwa wakati wa sherehe za kuadhimisha miaka 20 kwenye uwanja wa Amahoro Kigali, April 7, 2014.