Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatatu, Februari 06, 2023 Local time: 12:04

Ruto asema Kenya haitashindwa kulipa deni lake


Ruto asema Kenya haitashindwa kulipa deni lake
please wait

No media source currently available

0:00 0:29:59 0:00

Rais wa Kenya William Ruto amesema serikali yake itaimarisha ukusanyaji wa ushuru na kupunguza ukopaji huku akiahidi nchi hiyo ya Afrika Mashariki haitashindwa kulipa deni lake.

XS
SM
MD
LG