Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumanne, Aprili 16, 2024 Local time: 10:51

Russia yatangaza sitisho jipya la mapigano Ukraine kuruhusu raia kuondoka


Russia yatangaza sitisho jipya la mapigano Ukraine kuruhusu raia kuondoka
please wait

No media source currently available

0:00 0:29:58 0:00

Russia imetangaza sitisho jipya la mapigano Ukraine Jumatano, ili kuruhusu raia kuondoka katika miji iliyozingirwa. Hata hivyo kulikuwa na ishara ndogo ya maendeleo yanayotoa njia za kuondoka kwa maelfu ya watu waliokwama bila dawa na maji safi ya kunywa.

XS
SM
MD
LG