Upatikanaji viungo

Breaking News
Ijumaa, Februari 03, 2023 Local time: 00:54

Russia yasema zaidi ya wanajeshi 1000 wa Ukraine wamejisalimisha


Russia yasema zaidi ya wanajeshi 1000 wa Ukraine wamejisalimisha
please wait

No media source currently available

0:00 0:29:58 0:00

Wizara ya Ulinzi ya Russia inasema zaidi ya wanajeshi wa Ukraine 1000 wamejisalimisha katika mji wa Mariupol.

- Polisi wanamtafuta Frank R. James mtu mwenye ushawishi wakisema kuwa alikodi gari aina ya Van pengine inawezekana alihusika na shambulizi hilo.

- Wasiwasi waongezeka juu ya kupanda bei zaidi za bidhaa kutokana na ucheleweshaji wa kutoka bidhaa bandarini nchini Tanzania

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari

XS
SM
MD
LG