Raia wawili wa New Zeland ambao ni mapacha wenye umri wa miaka 12 , wamepata tuzo ya inayojulikana kama Shine-A-Light award kwa ajili ya kusaidia maktaba za shule za vijijini nchini Zimbabwe.
Vitabu kwa ajili ya maktaba za vijijini Zimbabwe

1
idadi kubwa ya watu wa New Zealand wanaunga mkono maktaba za vijijini Zimbabwe.

2
Mmoja wa mapacha anasaidia kutafuta vitabu na pesa kwa ajili ya vitabu kwenye maktaba za vijijini nchini zimbabwe.

3
Baadhi ya rais wa New Zealand kama kijana huyu wanasaidia kuchangisha pesa kwa ajili ya maktaba za vijijini nchini Zimbabwe.

4
Mfano huu unaojulikana kama snowman umetengenezwa na mmoja wa msichana pacha unauzwa kwa dola 10.ni sehemu ya kuchangisha fedha kwa ajili ya harakati za maktaba za shule nchini zimbabwe .