Watoto wa kirohingya wakabiliwa na matatizo ya msongo wa mawazo
Maelfu ya wakimbizi wakirohingya waliathirika vibaya pale wanajeshi wa Myanmar walipoanzisha operesheni ya kikatili ya kuwatokomeza hapo Agasti mwaka 2017, na kuwapelekea warohingya kukimbilia nchi jirani ya Bangladesh. Tukio hilo lilipelekea wakimbizi hao kukumbwa na madhara makubwa ya kiakili.
Matukio
-
Februari 10, 2023
Hotuba ya Hali ya Kitaifa: Biden azungumzia mvutano na China
-
Februari 06, 2023
Marekani: Rais Biden atatoa Hotuba ya Hali ya Kitaifa 2023
Facebook Forum