Street clashes broke out Monday in Baltimore, Maryland, just hours after the funeral of 25-year-old Freddie Gray, a black man who died from a mysterious spinal injury sustained while in police custody earlier this month.
Ghasia za zuka Baltimore baada ya mazishi ya Freddie Gray

1
Gari la polisi likiwaka moto wakati wa ghasia kufuatia maziko ya Freddie Gray mjini Baltimore, April 27, 2015.

2
Mwandamanaji akipita mbele ya polisi akibeba tufali wakati wanakabiliana na watu wanaowatupia vitu baada ya maziko ya Freddie Gray mjini Baltimore, April 27, 2015.

3
Muandamanaji mmoja akiruka ruka juu ya gari la polisi lililoharibiwa wakati wa ghasia za Baltimore, Maryland, April 27, 2015.

4
Wazima moto wanapambana na moto mkubwa kwenye jengo, uloaswa na vijana walozusha ghasia katika mji wa Baltimore, April 27, 2015.