Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumamosi, Januari 28, 2023 Local time: 17:42

Rais Zelenskyy atoa wito Ulaya isitishe biashara zote na Russia


Rais Zelenskyy atoa wito Ulaya isitishe biashara zote na Russia
please wait

No media source currently available

0:00 0:29:59 0:00

Rais wa Ukraine Volodymir Zelenskyy ametoa wito kwa viongozi wa Ulaya kusitisha biashara zote na Russia, katika juhudi za kuishinikiza Moscow kuacha kuishambulia nchi hiyo.

XS
SM
MD
LG