No media source currently available
Akilihutubia bunge kwa mara ya kwanza tangu kuchukua madaraka Rais Donald Trump ameahidi kutekeleza ahadi zake alizotoa wakati wa kampeni za uchaguzi mwezi Novemba mwaka 2016.