Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumamosi, Juni 25, 2022 Local time: 22:32

Rais Putin atetea uvamizi uliofanywa na majeshi yake Ukraine


Rais Putin atetea uvamizi uliofanywa na majeshi yake Ukraine
please wait

No media source currently available

0:00 0:29:58 0:00

Rais wa Russia Vladimir Putin ametetea hatua yake ya kijeshi kuivamia Ukraine kama jibu la lazima kwa sera za nchi za Magharibi.

Rais wa Russia Vladimir Putin ametetea hatua yake ya kijeshi kuivamia Ukraine kama jibu la lazima kwa sera za Magharibi.

Mahakama ya Juu Marekani huenda ikabadili ulinzi kwa serikali kuu kwa utoaaji mimba kulingana na rasimu iliyovuja ya maoni yanayotarajiwa katika miezi michache ijayo.

Wakimbizi wa Kenya wanaonufaika na sheria inayowapa haki ya kusoma na kupata ajira wakabiliwa na changamoto.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari

XS
SM
MD
LG