Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumamosi, Oktoba 12, 2024 Local time: 03:43

Putin ataka wanajeshi wake kuharakisha operesheni yao Ukraine


Putin ataka wanajeshi wake kuharakisha operesheni yao Ukraine
please wait

No media source currently available

0:00 0:29:58 0:00

Rais Vladimir Putin wa Russia anataka wanajeshi wake kuharakisha operesheni yao Ukraine, huku kila upande ukitoa madai ya bomu chafu.

Wabunge wa Ghana wanataka waziri wa fedha na naibu wake kujiuzulu kufuatia hali mbaya ya uchumi.

XS
SM
MD
LG