Rais Barack Obama alishiriki katika mjadala juu ya hatua zake za kudhibiti bishara ya bunduki ulotayarisha na shirika la habari la CNN uloongozwa na Anderson Cooper, katika chuo kikuu cha George Mason mjini Fairfax, Va., Jan. 7, 2016.
Rais Obama akutana na raia kuzungumzia bunduki

1
Mbunge wa zamani waMarekani Gabby Giffords kutoka Arizona, akiwa na koti kijani, pamoja na mumewe, Mark Kelly, kushoto, wakishiriki katika mjadala wa Rais Obama katika chuo kikuu cha George Mason Fairfax, Va., Jan. 7, 2016. Gabby Giffords alipigwa kwa risasi wakati wa shughuli za kampeni yake huko Arizona mwaka 2011.

2
Anderson Cooper mtangazaji wa kipindi cha CNN wakati wa mjadala na Rais Barack Obama,

3
Rais Barack Obama, kushoto, akizungumza wakati wa mjadala wa CNN uloongozwa na Anderson Cooper, kulia, katika chuo kikuu cha George Mason mjini Fairfax, Va., Jan. 7, 2016.

5
Rais Barack Obama, kushoto, akizungumza katika mjadala ulotayarishwa na kituo cha CNN juu ya amri alotowa juu ya kudhibti biashara ya bunduki katika chuo kikuu cha George Mason mjini Fairfax, Va., Jan. 7, 2016.