Rais wa Marekani Barack Obama ameanza ziara yake ya Mashariki ya Kati kwa kutembelea kwanza Israel kabla ya kwenda Ukingo wa Magharibi na Jordan
Rais Obama atembelea Mashariki ya Kati
1
Rais wa Marekani Barack Obama akitabasamu karibu na waziri mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu na rais Shimon Peres kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Ben Gurion karibu na Tel Aviv, March 20, 2013.
2
Rais wa Marekani Barack Obama akikagua gwaride la heshima kwenye uwanja wa ndege wa Ben Gurion karibu na Tel Aviv, March 20, 2013.
3
Wanajeshi wa Israeli wakijitayarisha kwa sherehe rasmi za kumkaribisha rais Barack Obama kwenye uwanja wa ndege wa Ben Gurion karibu na Tel Aviv, Israel, March 20, 2013.
4
Myahudi akipita mbele ya mabango yanayotowa wito kwa rais Barack Obama kumachilia huru Jonathan Pollard anaeshikiliwa katika jela ya Marekani huko Jerusalem, March 20, 2013.