Mcheza filamu-mchekeshaji mashuhuri wa Marekani Robin Williams, aliyekua na umri wa miaka 63 alipatikana amefariki nyumbani kwake kaskazini ya California hapo Aug. 11. Maafisa wa usalama wanaamini alijinyonga na uchunguzi unafanyika.
Msani mashuhuri Robin Williams, afariki 1951-2014

1
Mcheza filamu Robin Williams akishiriki katika jopo la "The Crazy Ones" mwaka 2013 katika kituo cha televisheni cha CBS Beverly Hills, California, July 29, 2013.

2
Mchekeshaji Robin Williams akiweka tunzo yake ya Grammy kwenye shikio akijidai anasikiliza sauti alipokua anapokea tunzo hiyo katika tamasha la 45 la kila mwaka la Grammy Awards katika uwanja wa Madison Square Garden, New York Feb. 23, 2003. Williams alipokea tunzo hiyo ya Grammy kwa album yake Vichekesho Bora "Robin Williams Live 2002."

3
Robin Williams gestures during a panel discussion for his HBO show "Robin Williams: Weapons of Self-Destruction" at the Television Critics Association Cable summer press tour in Pasadena, California, July 30, 2009.

4
Robin Williams presents a tribute to Jonathan Winters on stage at the 65th Emmy Awards at Nokia Theater, Sept. 22, 2013, in Los Angeles.