Filamu na wasani waloteuliwa kuweza kushinda tuzo mashuhuri ya Academy Awards, Oscar, kwa 2014 walitangazwa Alhamisi mjini Los Angeles, California.
Filamu na wasani waloteuliwa katika tuzo ya 86 ya Oscar

1
Washindi wa "Academy Awards," inayofahamika zaidi kwa jina la "The Oscars," watapokea tuzo hii ya sanamu ndogo katika sherehe zitakazo fanyika mwezi Machi mjini Los Angeles, California. (Oscars.org)

2
در بيمارستان عمومی سنگاپور، مردم به ياد و خاطره نخست وزير پيشين، لی کوآن يو، ادای احترام میکنند. بنا به بيانيه دولت، آقای لی يکی از شخصيتهای برجسته دوران پس از استعمار سياست آسيا بود که در سن ۹۱ سالگی در بيمارستان درگذشت.

3
“12 Years a Slave” ni moja ya filamu zilizoteuliwa kwaajili ya sinema bora ya mwaka. (Oscars.org)

4
Mchezaji Sandra Bullock ameteuliwa kama muigizaji mwanamke bora wa mwaka kwa kucheza katika filamu ya "Gravity." (Oscars.or