Dunaini katika picha
5
Jua linapojitokeza asubuhi huko Calais, Vermont, USA.
6
Trailer lililopakisa vicha vya lori linanig'inia kwenye daraja huko Kaili, jimbo la Guizhou , China, Oct. 21, 2013. Kufuatana na vyombo habari vya eneo hilo ni kwamba trailer hiyo ilikaribia kuanguka baada ya dereve kupoteza udhibti wa gari , hakuna aliyejeruhiwa.
7
Mzima moto akijaribu kuzima moto nyuma ya nyumba ya mkazi mmoja huko Faulconbridge ikaribu na milima ya Blue Mountains, Australia.
8
Expedition 37 crew members aboard the International Space Station releases Orbital Sciences' Cygnus spacecraft from the station's robotic arm.