Rias Barack Obama wa Marekani amkaribisha Papa Francis katika White House akianza ziara rasmi ya kihistoria hapa Marekani. Zaid ya watu elfu 15 walihudhuria sherehe za kumkaribisha mkuu wa Kanisa la kikatholiki.
Obama ampokea Papa Francis White House
Rias Barack Obama wa Marekani amkaribisha Papa Francis katika White House akianza ziara rasmi ya kihistoria hapa Marekani. Zaid ya watu elfu 15 walihudhuria sherehe za kumkaribisha mkuu wa Kanisa la kikatholiki.

1
Papa Francis na Rais Barack Obama wakiwapungia wageni kwenye uwanja wa White House kabla ya kuanza mazungumzo yao ya faragha ndani ya afisi yake inayofahamika kama Oval Office, Sept. 23, 2015.

2
Papa Francis anampa mkono Rias Obama baada ya kutoa hotuba wakati wa sherehe za kumkaribisha kuanza ziara yake ya kwanza ya kitaifa Marekani katika uwa wa South Lawn ya White House, Sept. 23, 2015.

3
Umati wa watu wakusanyika nje ya White House kushuhudia Papa FGrancis akikaribishwa na Rais Barack Obama, Sept. 23, 2015. (Richard Green/VOA)

4
According to White House estimates, there were about 11,000 guests on the South Lawn for the ceremony welcoming Pope Francis, Sept. 23, 2015. (Aru Pande/VOA)