.
Obama atembelea jumba la makumbusho la Bob Marley
Rais Barack Obama atembelea Jamaica, akiwa kiongozi wa kwanza wa Marekani kutembelea taifa hilo tangu rais Ronald Regan kutembelea huko 1982.

1
방글라데시 다카에서 어부들이 강바닥에 대나무를 꼽고 있다. 대나무 가지에 미끼를 달아서 물고기를 잡는다.

2
Rais wa Marekani Barack Obama, akishuka kutoka ndege yake akifuatana na mbunge Yvette Clarke,wa chama cha Republican, (kati kati) pamoja na waziri wa nishati Dr Ernest Moniz, Walipowasili kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Norman Manley, Jamaica April 8, 2015.

3
Rais wa Marekani Barack Obama, akipokelewa na Waziri Mkuu wa Jamaica Portia Simpson-Miller, na Gavana Mkuu wa Jamaica Patrick Allen, (kulia), kwenye uwanja wa ndege wa Norman Manley mjini Palisadoes, Jamaïca.

4