A look at the best news photos from around the world.
Matukio katika picha

1
Kasisi akibariki masanduku ya maiati ya wasicfhana wawili ambao ni ndugu Marion na Anna Petard, huko Blois, France waliouwawa katika mashambulizi ya kigaidi Paris Nov. 13, 2015.

2
Mwimbaji Celine Dionakiimba katika kuwakumbuka waathiriwa wa mashambulizi ya Paris.

3
Mwendesha baiskeli akiendesha baiskeli yake katika theruji huko kaskazini mwa Spain.

4
Polisi wenye utaalamu wa kutegua mabomu wakiajiandaa kufanya kazi hiyo mjini Tokyo.
Makundi
- Afrika
- Marekani
- Afya
- Hali ya HIV/Ukimwi Afrika
- Makala Maalum
- Uchaguzi Kenya 2013
- Kesi za Wakenya Mbele ya ICC
- Fainali za Kombe la Afrika 2015
- Ziara ya Rais Obama Kenya, Julai 23-26
- Mkutano wa baraza kuu la Umoja wa Mataifa
- Tanzania Yaamua 2015
- Uchaguzi Marekani 2016
- Ziara ya Papa barani Afrika
- Uchaguzi Uganda 2016
- Mauaji Orlando
- YALI 2016
- Rio 2016
- UNGA
- AFCON 2017