A look at the best news photos from around the world.
Matukio katika Picha
1
Watu wamekusanyika katika uwanja wa Capitol Square hukoToulouse, kusini mwa France, kutoa heshima zao za mwisho dhidi ya mashambulizi ya kigaidi nchini humo.
2
Polisi wenye silaha wakiwa kwenye uwanjwa wembley Stadium in London, kabla ya mechi ya kirafiki ya soka kati ya England na France.
3
Mwanamke akipita chini ya bendera kwenda kwenye mnara wa national mall Marekani kutoa heshima za mwiso dhidi ya mashambulizi ya ufaransa.
4
Smoke rises behind an apartment complex that has been leveled by flames as a wildfire ravages Ventura, California.