Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumamosi, Mei 08, 2021 Local time: 10:53

Dereva wa lori asababisha vifo vya watu 8 New York

Mamia ya wakazi wa New York washiriki katika gwaride la kuadhimisha siku ya wafu saa chache baada ya dereva wa lori dogo kuwagonga na kuwauwa watu 8 na kuwajeruhi zaidi ya 12 siku ya Jumanne.

Pandisha zaidi

Makundi

XS
SM
MD
LG