Papa Francis atowa wito kwa viongozi wote duniani kuwalinda watu na mazingira, na kuepukana na chuki, wivu na kujivuna alipoapishwa rasmi Jumanne mbele ya waumini 150 000, kwenye uwanja wa Saint Peter huko Vatican.
Kuapishwa kwa Papa Francis

1
Papa Francis akiwapungia mkono waumini alipokuwa anawasili kwenye uwanja wa Saint Peter huko Vatican, March 19, 2013.

2
Papa Francis akiwapungia mkono waumini alipokuwa anawasili kwenye uwanja wa Saint Peter huko Vatican kwa ajili ya sherehe za kuapishwa kwake, March 19, 2013.

3
Crowds fill Saint Peter's Square for the inaugural mass of Pope Francis at the Vatican, March 19, 2013.

4
Pope Francis reaches out for a child in Saint Peter's Square at the Vatican, March 19, 2013.