Nelson Mandela afariki akiwa na umri wa miaka 95
Nelson Mandela

1
Nelson Mandela pamoja na mkewe, Winnie, wakiwapungia mkono watu walojitokeza kumpokea alipoachiwa huru kutoka jela ya Victor Verster hapo Februari 11, 1990.

2
Picha ya isiyojulikana imepigwa lini ya Nelson Mandela na mke wake wa zamani, Winnie.

3
Rais wa afrika Kusini Frederik Willem de Klerk, kushoto, na naibu rais wa African National Congress Nelson Mandela, kulia, wakiwa pamoja kabla ya kuanza mazungumzo kati ya ANC na serikali ya Afrika Kusini mjini, Cape Town, May 2, 1990.

4
Kiongozi wa ANC na nembo ya upinzani dhidi ya ubaguzi wa rangi, Nelson Mandela, anaonekana akitoa saluti ya black power kwa wafuasi 120,000 wa ANC katika uwanja wa kandanda wa n Soweto karibu na Johannesburg, Afrika Kusini, Feb. 13, 1990.