Upatikanaji viungo

Nelson Mandela

Baadhi ya wakati muhimu ya maisha ya rais wa zamani wa Afrika Kusini Nelson Mandela
Onyesha zaidi

Picha zilizochorwa za Nelson Mandela kuonesha sehemu mbali mbali za maisha yake huko Soweto, Afrika Kusini iliyozinduliwa March 28, 2013.
1

Nelson Mandela na aliyekuwa mke wake wa kwanza, Winnie, wakiwapungia mkono walojitokeza kumkaribisha akitoka kutoka jela ya Victor Verster hapo Febuari 11, 1990.
2

Hii picha iliyokarabatiwa ni ya Nelson Mandela na aliyekuwa mkewe, Winnie.
3

Rais wa Afrika Kusini Frederik Willem de Klerk, (kushoto), na Naibu Rais wa chama cha African National Congress Nelson Mandela, (kulia), kabla ya kuanza mazungumzo kati ya  ANC and serikali ya Afrika Kusini huko Cape Town , May 2, 1990.
4

Pandisha zaidi

Makundi

XS
SM
MD
LG