Mashmabulio ya bunduki katika kambi ya Navy Yard Washington

1
Magari ya huduma za dharura na maafisa wa usalama washughulikia shambulio la bunduki kwenye mlango wa kambi ya jeshi la majini, Washington Navy Yard, Sept. 16, 2013.

2
Polisi wakikabiliana na shambulio la bunduki katika kambi ya Washington Navy Yard, Sept. 16, 2013.

3
Polisi wa bunge la Marekani wameimarisha ulinzi kwenye uwanja wa mashariki wa bunge, East Plaza wakati uchunguzi unaendelea kufuatia shambulio la bunduki katika mtaa wa karibu na eneo hilo kunakopatikana kambi ya jeshi la majini la Washington Navy Yard, Sept. 16, 2013.

4
Polisi kutoka sehemu mbali mbali walofika kusaidia kutokana na shambulio kwenye kambi ya Washington Navy Yard, Sept. 16, 2013, leave the facility.