Maandamano ya nchi nzima katika kujibu mauaji yanayofanywa na polisi huko Missouri na New York yaliendelea jumatatu usiku.
Maandamano dhidi ya mauaji yanayofanywa na polisi marekani yanaendelea - Dec. 9, 2014
5
Mchezaji mashuhuri wa Cleveland Cavaliers LeBron James akijitayarisha kabla ya mchuwano wa mp[ira wa vikapu wa NBA basketball dhidi ya timu ya Brooklyn Nets katika uwanja wa Barclays Center New York, akiva T-sjhirt yenye maandishi "siwezi kupumua", maneno ya mwisho ya mtu aliyeuliwa na polisi New York. Dec. 8, 2014.
6
Police try to block protesters at the entrance to the Atlantic Terminal Mall following protests at the nearby Barclays Center, in the Brooklyn Borough of New York, Dec. 8, 2014.
7
Aliyah Favela, 9, asimama nji ya kituo cha polisi cha Phoenix, Arizona, Dec. 8, 2014.