Maandamano ya nchi nzima katika kujibu mauaji yanayofanywa na polisi huko Missouri na New York yaliendelea jumatatu usiku.
Maandamano dhidi ya mauaji yanayofanywa na polisi marekani yanaendelea - Dec. 9, 2014

1
Waandamanaji wamefunga njia ya kituo cha treni ya Amtrack wakati mamia wakiandamana kupinga uamuzi wa baraza la mahakama kutowafungulia mashtaka maofisa polisi wazungu waliosababisha vifo kwa wanaume weusi wasio na silaha huko Berkeley, Calif., Jumatatu, Dec. 8, 2014.

2
Ofisa polisi akielekeza bunduki yake kwa waandamanaji wakati wa maandamano dhidi ya uamuzi wa baraza la mahakama huko New York City wa kutomfungulia mashtaka polisi aliyesababisha kifo cha Eric Garner huko Berkeley, California, Dec. 8, 2014.

3
Police with wooden sticks stand guard after they cleared a group of protesters out who had stopped traffic in downtown Seattle during a demonstration against the decisions not to indict police officers who who killed men in Ferguson, Missouri and New York

4
University of California Berkeley school of law graduated Alyson Reimer holds up a sign as she protests in response to police killings in Missouri and New York as Berkeley Police officers block a street in front of the police station in Berkeley, Calif.,