Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumamosi, Oktoba 01, 2022 Local time: 04:39

Mwili wa Malkia Elizabeth II waendelea kuagwa na wananchi Scotland


Mwili wa Malkia Elizabeth II waendelea kuagwa na wananchi Scotland
please wait

No media source currently available

0:00 0:29:59 0:00

Jeneza la Malkia Elizabeth wa Uingereza limewekwa katika Kanisa la Mtakatifu Giles mjini Edinburgh, Scotland kuwapa fursa wananchi kutoa heshima zao za mwisho.

- Mfalme wa Uingereza Charles amelihutubia bunge la Uingereza kwa mara ya kwanza kama kiongozi wa ufalme.

- Alitoa hotuba yake katika ukumbi wa Westiminster uliopo jijini London mbele ya umma wa watu 1,000 ukijumuisha wabunge na wageni wao.

- Wabunge kutoa salamu za rambirambi kufuatia kifo cha mama yake aliyekuwa malkia wa Uingereza, Elizabeth.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari

XS
SM
MD
LG