Upatikanaji viungo

Breaking News
Ijumaa, Machi 28, 2025 Local time: 02:06

Gwiji la musiki Prince afariki akiwa na umri wa miaka 57

Prince Rogers Nelson, ni msani aliyekua na kipaji cha mambo mengi, na mwanaharakati wa kutetea watoto walalahoi. Muziki wake unaokumbukwa zaidi ni "1999," "Little Red Corvette," na "Purple Rain," muziki ulomwekla kwenye kjukwa la dunia ya musiki na filamu yake 1984.


Pandisha zaidi

Makundi

XS
SM
MD
LG