Rais Mugabe aapishwa kwa mhula mwengine

1
Sherehe za kuapishwa Rais Robert Mugabe mwenye umri wa miaka 85 kwa mhula mwengine wa miaka mitano madarakani mjini Harare, August 22, 2013.

2
President Robert Mugabe wa Zimbabwe ashika bibilia akila kiapu wakati wa sherehe za kuapishwa kwake mjini Harare, Ogusti 22, 2013.

3
Rais Robert Mugabe na mkewe Grace waikiwapungia mkono umati wa watu alipokuwa anawasili kwenye uwanja wa michezo kuhudhuria sherehe za kuapishwa kwake mjini Harare, August 22, 2013.

4
Mfuasi wa rais Robert Mugabe akibeba bango la rais wakati wa sherehe za kuapishwa kwake mjini Harare, August 22, 2013.