Waislmu katika sehemu mbali walaani viteno viovu vinayofanywa na magaidi.
Waislamu walaani vitendo vya ugaidi
1
Jue Jue Than akipigwa picha na bango la kulaani ugaidi huko Myanmar
2
Watu wanaasha michuma rangi za bendera ya Ufaransa katika uwanja wa Sant Jaume mjini Barcelona, Hispania, November 16, 2015. Wakiwa na bango linaloeleza kwamba "Uislamu si Ugaidi".
3
Mwanamke akisimama karibu na mishuma na mauwa akitoa heshima zake kwea waathiriwa wa mashambulizi ya Paris nje ya Ubalozi wa Ufaransa mjini Teheran. November 14, 2015.
4
Wanaharakati wa kind mimosa la kislamu huko Calcutta India, wakibeba mabango kulaani mashambulizi ya kigaidi ya Paris, November 18, 2015.