Wafuasi wa Morsi wakaidi utawala wa dharura Misri
1
Wafuasi wa Morsi na polisi wa kupambana na ghasia wakusanyika nje ya mskiti wa al-Fath kwenye uwanja wa Ramses Cairo, August 17, 2013.
2
Polisi wa Misri akiwa na silaha anajiweka sawa mbele ya mskiti wa al-Fath mosque kwenye uwanja wa Ramses mjini Cairo, Ogusti 17, 2013.
3
Polisi walikuwa wanashika zamu ndani ya chumba kimoja ndani ya mskiti wa al-Fath wakati wafuasi wa rais aliyeondolewa madaerakani President Mohamed Morsi wakipambana na vikosi vya usalama nje ya mskiti huo mjini Cairo, Aug.t 17, 2013
4
Polisi anajipanga wakati wa mapambano na wafuasi wa rais wa Misri aliyepinduliwa Mohamed Morsi ndani ya mskiti wa al-Fath Cairo, August 17, 2013.