Matukio mbali mbali kufuatia kutenguliwa kwa ndege ya Shirika la Ndege la Malaysia huko Ukraine
Matukio duniani baada ya ajali ya ndege ya Malaysia

1
Mwanamgambo anaeunga mkono Russia akiangalia sehemu ya mbele ya ndege ya Shirika la Ndege la Malaysia Boeing 777 iliyoangushwa karibu na kijiji cha Rozsypne, jimbo la Donetsk, Julai 18, 2014.

2
Mabaki ya sehemu ya mbele ya ndege ya Shirila la Ndege la Malazia aina ya Boeing 777 iliyotenguliwa Juali 18 na kuanguka katika kijiji cha Rozsypne, jimb la Donetsk, July 18, 2014.

3
Waandishi habari wamzunguka jamaa yake abiria mmoja wa ndege ya Shirika la Ndege la Malaysia nambari MH17 iliyoanguka katika eneo lenye vita Ukraine, katika uwanja wa ndege wa Kuala Lumpur Sepang, Malaysia, Julai 18, 2014.

4
Wachimba mgodi wa mkaa wa Ukraine wakitafuta eneo ambako ndege ya Malasia ilianguka katika kijiji cha Rozsypne, mashariki ya Ukraine Ijuma, Julai 18, 2014.