MLK: Sherehe za kuadhimisha miaka 50 ya Mandamano ya Washington

1
Rais Barack Obama akitoa hotuba wakati wa kuadhimisha miaka 50 ya maandamano ya kutetea haki za kiraia na hotuba ya kihistoria ya Martin Luther King Jr. "I have a dream" kwenye makumbusho ya Lincoln jijini Washington, Aug. 28, 2013.

2
Kuanzia kushoto, Rais wa zamani Jimmy Carter, rais wa zamani Bill Clinton, balozi wa zamani kwenye Umoja wa Mataifa Andrew Young, mke wa rais Michelle Obama, na Rais Barack Obama wakisimama wakati wa wimbo wa taifa kuadhimisha miaka 50 ya Mandamano kuelekea Washington, Aug. 28,2013.

3
wanawake watatu walohudhuria maandamano iliyopita, kutoka kushoto Armanda Hawkins wa Memphis, Vera Moore wa Washington, na Betty Waller Gray wa Richmond, Va., (anaebeba bango ) lwanawasikiliza wageni waheshima wakitoa hotuba wakati wa mandamano ya Washington, Aug. 28, 2013, kwenye makumbusho ya Lincoln Memorial.

4
The group Junkaroo performs at the Let Freedom Ring ceremony at the Lincoln Memorial in Washington, Aug. 28, 2013, to commemorate the 50th anniversary of the 1963 March on Washington for Jobs and Freedom.