Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumamosi, Desemba 10, 2022 Local time: 02:35

Mkutano wa hali ya hewa wa utangulizi kabla ya COP27 wamalizika Kinshasa


Mkutano wa hali ya hewa wa utangulizi kabla ya COP27 wamalizika Kinshasa
please wait

No media source currently available

0:00 0:29:59 0:00

Mkutano wa hali ya hewa wa utangulizi kabla ya COP27 umemalizika Jumatano mjini Kinshasa, DRC ambapo zaidi ya mawaziri 60 wa mazingira kutoka nchi mbalimbali walikuwepo kwa siku tatu za majadiliano kuhusu mabadiliko ya hali ya hewa.

XS
SM
MD
LG