Wajerumaini waadhimisha miaka 25 tangu kubomolewa kwa Ukuta wa Berlin, jambo lililoleta mabadiliko makubwa duniaki na kufikisha kikomo utawala wa kikomunisti
Sherehe za miaka 25 tangu kubomolewa Ukuta wa berlin

1
Vibofu vilivyopangwa kwa kisana, "Lichtgrenze 2014" vikipeperuka hewani mbele ya mlango maaruf wa Brandenburg Gate wakati wa kilele cha sherehe za miaka 25 ya Ukuta wa Berlin Ujerumani, Nov. 9, 2014.

2
Kansela wa Ujerumani Angela Merkel akiweka lawaridi kwenye makumbusho ya Ukuta wa Berlin katika barabara ya Bernauer Strasse, wakati wa kilele cha sherehe za miaka 25 ya Ukuta wa Berlin Ujerumani.

3
Rais wa zamani wa Urusi Mikhail Gorbachev, (kati kati, akiachilia kibofu chake kutoka eneo maalum laq "Lichtgrenze" (Mpaka wa Taa) mbele ya mlango wa Brandenburg Gate mjini Berlin, Nov. 9, 2014.

4
A man wipes his eyes as he attends the central event to commemorate the Fall of the Wall at the Brandenburg Gate in Berlin, Germany, Nov. 9, 2014.