Pia wachambuzi wameeleza kile ambacho wasimamizi wa mdahalo huo wamekiita Mwamba mkubwa ambaye hakuwepo hapo. Ungana na mwandishi wetu akikuletea kwa undani mivutano iliyojitokeza katika mjadala huo uliofanyika mjini Milwaukee, Wisconsin, Marekani, Agosti 23, 2023.
Matukio
-
Novemba 23, 2024
Mwanamuziki Chris Stapleton atwaa tuzo 4 za muziki wa Country