Upatikanaji viungo

Breaking News
Ijumaa, Aprili 19, 2024 Local time: 21:27

Mazishi ya Maalim Seif Sharif Hamad Zanzibar

Marehemu Maalim Seif Sharif Hamad, amezikwa Alhamisi kijijini kwao, Mtambwe Nyali Mkoa wa Kaskazini Pemba, Zanzibar.

Maalim Seif ambaye alikuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, mwili wake uliagwa Alhamisi mapema katika msikiti wa Maamur Upanga, jijini Dar es Salaam na baadae kusafirishwa Zanzibar kwa ajili ya mazishi.


Pandisha zaidi

Makundi

XS
SM
MD
LG