A look at the best news photos from around the world.
Matukiyo ya Septemba 11 2019

1
Bendera ya Marekani iliyowekwa kwenye ukuta wa makumbusho wenye majina ya walofariki Septemba 11, 2001, kisiwani Manhattan, New York, wakati wa sherehe za kuadhimisha miaka 18 tangu mashambulizi ya kigaidi ya 9/11.

2
Mtu aliyebeba tarumbeta wakati waandamanaji wakiimba wimbo wataifa wa Hong Kong wakati wa malalamiko kwenye maduka ya New Town Plaza mjini Hong Kong, China.

3
Mlima wa volcano wa Villarrica unalipuka na kurusha udogo wa moto hewani kama inavyo onekana kutoka mji wa Pucon, Chile.

4
A mahout and elephants wait are seen during festivities marking the yearly harvest festival of Onam at a temple in Kochi, India.