Wakenya wawika kwenye mashindano ya 14 ya riadha duniani yaliyomalizika Moscow jumapili Ogusti 18 2013.
Mashindano ya riadha duniani yamalizika Moscow

1
(Kushoto hadi kulia Stephen Kiprotich wa Uganda akikimbia mbele ya Peter Kimeli Some wa Kenya, Tadese Tola wa Ethiopia na Tsegay Kebede wa Ethiopia wakati wa mbiyo za marathon wanaume katika mashindano ya dunia ya IAAF wakipita mbele ya kanisa la St Basil kwenye uwanja wa, Moscow

2
Eunice Jepkoech Sum wa Kenya (kushoto) akisherekea ushindi wake wa mita 800 wanawake huku Alysia Johnson Montano wa Marekani U.S. (kulia) anaanguka kwenye mstari wa kumaliza mbiyo katika mashindano ya dunia ya riadha ya IAAFkwenye uwanja wa Luzhniki Moscow August 18, 2013. REU

3
Alysia Johnson Montano amelala chini baada ya kuankuga kwenye msatri wa kumaliza finali ya mbiyo za mita 800 wanawakwe wakati wa mashindano ya dunia ya riadha ya IAAF kwenye uwanja wa Luzhniki Moscow August 18, 2013.

4
Mshindi wa medali ya dhahabu Meseret Defar wa Ethiopia (kati) akiwa pamoja na mshindi wa medali ya fedha t Mercy Cherono wa Kenya (kushoto) na mshindi wa shaba Almaz Ayana wa Ethopia wakati wa mbiyo za mita 5,000 wanawake wakati wa sherehe za ushindi kwenye uwanja wa Luzhniki, Moscow.