Ulinzi unaongezwa Marekani na katika nchi nyingine kwenye majengo ya serikali, ya umma na viwanja vya michezo. Jumatatu April 15, 2013 mabomu mawili yalilipuka katika mitaa ya Boston, Marekani wakati wa mbio za marathon.
Marekani na nchi nyingine zaongeza ulinzi baada ya mashambulizi ya Boston

1
Polisi wa New York wakikagua begi la msafiri kwenye kituo cha Times Square kufuatia milipuko ya Boston, April 15, 2013.

2
Maafisa maalum wa SWAT wakifanya doria katika uwanja wa Copley baada ya milipuko karibu na sehemu ya kumalizia mbio za Boston Marathon April 15, 2013.

3
Bango limeweka kando ya barabara kutahadharisha operesheni za polisi wa Uingereza katika njia za mbio ndefu za London wiki ijayo.

4
Watalii wakipiga picha karibu na gari ya polisi wa Ujerumani wakilinda nje ya ubalozi wa Marekani mjini Berlin.
Makundi
- Afrika
- Marekani
- Afya
- Hali ya HIV/Ukimwi Afrika
- Makala Maalum
- Uchaguzi Kenya 2013
- Kesi za Wakenya Mbele ya ICC
- Fainali za Kombe la Afrika 2015
- Ziara ya Rais Obama Kenya, Julai 23-26
- Mkutano wa baraza kuu la Umoja wa Mataifa
- Tanzania Yaamua 2015
- Uchaguzi Marekani 2016
- Ziara ya Papa barani Afrika
- Uchaguzi Uganda 2016
- Mauaji Orlando
- YALI 2016
- Rio 2016
- UNGA
- AFCON 2017