No media source currently available
Mapambano ya Marekani dhiidi ya Russia katika vita ya Ukraine yanaongezeka kwa kiwango kikubwa baada ya Baraza la Wawakilishi la Marekani Jumanne kupitisha dola bilioni 40 za msaada mpya wa kijeshi na kibinadamu kwa Ukraine.