Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatano, Februari 08, 2023 Local time: 16:36

Marekani: Wabunge wavutana juu ya hatua stahiki ya kuzuia umiliki holela wa bunduki

Marekani: Wabunge wavutana juu ya hatua stahiki ya kuzuia umiliki holela wa bunduki
please wait

No media source currently available

0:00 0:03:40 0:00

Baada ya watoto na walimu wao kuuliwa katika shule ya msingi Texas, wabunge wa Marekani wanaendelea kuvutana juu ya hatua stahiki inayopaswa kuchukuliwa kudhibiti umiliki holela wa bunduki.

XS
SM
MD
LG