Mapigano ya Gaza yaendelea kwa wiki ya nne mfululizo
Mapigano yameongezeka huko Gaza, huku maandamano yakifanyika katika pembe zote za dunia kuunga mkono Palestina na kutaka kuachiliwa kwa mateka.
1
Moshi umetanda hewani kwenye Ukanda wa Gaza baada ya mashambulizi ya anga ya Israel
2
Kifaru cha jeshi la Israel lasubiri buldoza kuondowa vifusi kuweza kuingia Gaza kama ilivyoelezwa kwenye picha hii.
3
Mwanamke akimbeba mtoto na kumfunika uso baada ya vumbi kuingia ndani ya hospitali ya Al-Quds mjini Gaza City.
4
Waandamanaji wanaounga mkon o Palestina wakusanyika kwenye mji mkuu wa The Hague, Uholanzi kulaani mashambulizi ya Israel Gaza.