Dunia nzima yatoa heshima zao kwa Mandela Soweto

1
watu wakishangiria wakati Rais Barack Obama akitoa hotuba yake ya kumsifu Mandela kwenye uwanja wa mpira wa FNB, wakati wa Ibada ya Kuimkumbuka Nelson Mandela Johannesburg, Dec. 10, 2013.

2
Rais Barack Obama wa Marekani akihutubia umati wa watu wakati wa ibada ya kumkumbuka na mazishi ya Nelson Mandela katika uwanja wa mpira wa FNB karibu na Johannesburg, Dec. 10, 2013.

3
Winnie Madikizela-Mandela, mtalaka wa Nelson Mandela akisikiliza hotuba wakati wa ibada ya kumkumbuka Mandela Soweto karibu na Johannesburg, Dec. 10, 2013.

4
A man holds a placard with an image of Nelson Mandela at the FNB Stadium during a national memorial service, Dec. 10, 2013.