Hiyo ni hatua ya mchakato wa Kanisa Katoliki kumtangaza Nyerere kuwa Mtakatifu.
Mama Maria Nyerere ahudhuria maombi Siku ya Nyerere Uganda
Mama Maria Nyerere wa Tanzania akihudhuria Ijumaa Juni 1, 2018, maombi maalum kwa ajili ya Mwalimu Nyerere kabla ya maadhimisho ya Siku ya Mashahidi wa Uganda, akiwa na mwenyeji wake Rais Yoweri Museveni.

1
Mama Maria Nyerere na Rais Yoweri Museveni katika kanisa Katoliki- Namugongo, Uganda.

2
Mama Maria Nyerere na Rais Yoweri Museveni katika kanisa Katoliki- Namugongo, Uganda wakati maombi yakiendelea.

3
Misa ya kumuombea Hayati Mwalimu Nyerere nchini Uganda.

4
Baada ya misa ya kumuombea hayati Mwalimu Nyerere, Rais Museveni na Familia ya Mwalimu Nyerere, Namugongo, Uganda.