Wananchi wa Mali walipiga kura Julai 28, 2013 kwa wingi ambao unaweza kuwa ni rekodi katika nchi ambayo upigaji kura haujakuwa zaidi ya asilimia 40.
Mali yasubiri matokeo ya uchaguzi wa rais

1
Watu wakiangalia majina yao kwenye orodha ya wapiga kura huko Kidal, Mali, muda mfupi baada ya vituo kufunguliwa July 28, 2013.

2
Wafanyakazi wa uchaguzi wakihesabu kura katika kituo kimoja Kidal, Mali, July 28, 2013.

3
Mwanamke raia wa Mali akiwa na kadi yake ya kupigia kura mjini Bamako, Mali, July 28, 2013.

4
A man is patted down by a United Nations peacekeeper outside the main polling place in Kidal, Mali, July 28, 2013.