Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatano, Septemba 27, 2023 Local time: 22:33

Makamu wa Rais wa Marekani atangaza miradi mbalimbali katika ziara yake Tanzania


Makamu wa Rais wa Marekani atangaza miradi mbalimbali katika ziara yake Tanzania
please wait

No media source currently available

0:00 0:29:58 0:00

Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris ameendelea na ziara yake nchini Tanzania ambapo ametangaza miradi mbalimbali ili kuisaidia nchi hiyo.

Maandamano ya kupinga ugumu wa maisha Kenya na kutaka haki itendeke katika mfumo wa uchaguzi yameendelea.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari

XS
SM
MD
LG