Warundi hao walikodiwa kuja kumuua mwanamazingira. Katika kesi hiyo waliondolewa washtakiwa saba na kubakia na washtakiwa kumi na moja walikwenda katika utetezi na mpaka leo maamuzi yametoka.
Mahakama Tanzania yatoa hukumu ya kunyongwa waliomuua Wayne Lotter
Zinazohusiana
Matukio
-
Februari 04, 2023
Wananchi wa Peru washinikiza kufanyika uchaguzi, waandamana
-
Februari 04, 2023
Mkazi wa Haiti anayejulikana kimataifa, akanusha kujihusisha na uhalifu
-
Februari 04, 2023
VOA Mitaani: Uamuzi wa Mahakama Kuu Kenya waibua hisia mseto
-
Februari 03, 2023
Seneta Michael Bennette ataka programu ya TikTok kuondolewa
-
Februari 03, 2023
Nairobi: Mkazi wa Dandora aeleza uchafuzi wa mazingira ulivyauathiri mto